Oh pole sana. Huyo ana unafuu kwa sababu kafia nyumbani mwa Bwana. Apumzike kwa amani...
...na ndiyo maisha yetu hayo. Yanaweza kukoma wakati wo wote. Tunapaswa kuwa tayari wakati wote japo tuna tabia ya kujisahaulisha sana. Mungu na Atusaidie
Ila ibada yangu ya Leo imegeuka ya majonzi sana kwangu baada ya muumini kukata roho kanisani katikati ya ibada na tumeanza naye ibada asubuhi akiwa mzima wa afya.
Hii picha inajirudia kichwani na bado natafakari Sana.