Vituko mitandaoni. Tupia chako

Umenikumbusha kipindi niko kwenye 19s mimi na ndugu yangu tuliua mbwa koko usiku ule mzoga tulienda kuutupa karibu na makazi ya jirani yetu ili liwanukie halafu tukawa tunapita lila siku kukagua kama walishauona ule mzoga wakauchoma moto au kuufukia.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Halafu ilikuwaje? Malizia stori sasa usituache njiani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Halafu ilikuwaje? Malizia stori sasa usituache njiani [emoji16][emoji16][emoji16]
Sisi tulikuwa tunaenda kuhakikisha tu kama ule mzoga bado hawajauchoma ili uendelee kuwatesa kwa harufu kali.

Sema baadae yule mzee alikuja akagundua kuwa tuliutupa sisi akaja kulalamika home.

Mwisho wa siku yaliisha kikubwa tu si unajua utoto sometimes [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hamkupata kibano home baada ya malalamiko? Vituko vya aina hii ni vya muhimu kwa sababu kupitia kwavyo ndiyo tunajifunza kuhusu maisha.
 
Hamkupata kibano home baada ya malalamiko? Vituko vya aina hii ni vya muhimu kwa sababu kupitia kwavyo ndiyo tunajifunza kuhusu maisha.
Kulikuwa na kabifu kakifamilia hivyo mzee aliishia kufoka tu, alipotoka mlalamikaji mzee akaanza kucheka tu.

Hata sisi tulifanya kwa sababu ya hako kabifu kakifamilia[emoji3][emoji3][emoji3].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…