Yaani mie hapa ndio nashangaa unamuacha mwanaume alafu unaenda kudate mwanaume mwengine and expect sifferent....men are the same kenge wee!
Sawa na mwanaume anacha mke kisa kadinywa na mwanau e mwengi e alafu anaenda kuchukua mwanamke mwengine....wanawake ni wale wale broo.....ata hiyo kenge mpya itagegegdwa tuu either u find out or not.
Kweli kabisa tuendelee kusaka ndalama....ngoja nikawacheki jamaa zangu wa gg kwenye mikeka muhindi lazima afe mwaka huu.
Mil 234 lazima iwe mil 500 december.
Safi kabisa...talk about a smart woman. She understands all men are dogs and therefore bora utengeneze hela kwa virginity yako...kuliko unaipa mbwa inakula na haikupi utajiri. As the say,its no expensive, its costly