๐จMwamba Huyu Hapa ๐๐๐
โก๏ธMchumba wa staa wa Nigeria na klabu ya Bayerlevakusen ya Ujerumani Victor Boniface ameamua kuvunja uhusiano na staa huyo baada ya kubaini kwenye mali zake zote ameandika majina ya mama yake mzazi tu
โก๏ธBinti huyo raia wa Norway amechukua uamuzi huo huku wakiwa tayari wamedet kwa miaka minne, katika harakati za kujaribu kufunga ndoa ndio akabaini suala hilo na kuamua kujitoa
โก๏ธMwamba kaamua kutekeleza ilani kwa vitendo ๐๐๐.
View attachment 3213216