Mnaharibu huu uzi, Nafikiri ulitakiwa kuwa wa vituko na vichekesho Miaka ya nyuma nilikuwa nikisoma huu uzi vichrko tu Nafurahi nimerudi leo Mnapost Siasa na Masuala mengine tofauti kabisa, Kausheni Unataka kumuongelea Mbowe,Lissu,Samia,Ccm,Chadema nenda kwenye jukwaa la Politics