Wat non sense is this? Huo ni ujinga wa waafrica bwana...yaani nisomee u engineer miaka minne alafu uniambie nikawa bodaboda...bwege nini huyu Ali mufuruki
Watz bwana kweli hatuna akili...Sasa Kila Leo mechi muhimu wakishaingia wanasiasa tunaangukia pua pale kwa mkapa...badoo tuu hatujajifunza kuwa football and politics don't mix