Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Wakati wa chaguzi za kanda Chadema ilidaiwa Abdul alishiriki vilivyo kushawishi wajumbe wamchamgue bilionea Sugu.Huyu Abdul yaweza kuwa ushawishi wake kwenye siasa za kwetu sio wa kupuuza.
Haya ndiyo maendeleo ya mwanadamu.
Huyu wa kuketi kuume Kwa baba ake