Vituko mitandaoni. Tupia chako

Avumilie. Hata sisi hatuna cheo cha Naibu Waziri Mkuu katika katiba yetu ya Jamhuri!
Nanyi mnaweza kwenda mahakamani kulalamika.
Magoma anasema Katiba iliyoweka cheo cha rais ni batili na ndiyo liyotumika kuweka uongozi ulio batili.
Kwahiyo anataka kufuta ubatilli ndani ya Yanga.
Ana hoja, asikilizwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…