Wanasema ukweli utakuweka huru, wanaotaka kuwa huru watakubaliana na huo uasilia 🙂 na kuacha kupigana na ukuta kutwa kucha kufatilia mtu na asili yake.
Heshima upendo na amani vikiwepo, mengine yanajitelezea tuu....🥂.
Ni vile hawajui tu, tunakuwa na heshima na upendo wa hali ya juu wakiwa wawili au watatu, gubu , makasiriko na stress zinapatana na kwa mtu mwenye mke mmoja
Ni vile hawajui tu, tunakuwa na heshima na upendo wa hali ya juu wakiwa wawili au watatu, gubu , makasiriko na stress zinapatana na kwa mtu mwenye mke mmoja
Kitu Mungu ametuficha ni kujua au kusoma fikra au mawazo au yaliyomjaza mtu moyo wake.... vinginevyo tungekimbiana huku na kule ingekuwa tafrani.
Pata picha unasoma fikra za mtu anayekuja kwako kama mwenye mapenzi ya kweli kumbe kajia fedha na mali zako, au unasoma mawazo ya anayetaka kukuwekea limbwata au anayetaka kukuendea kwa mganga.... balaaa.....🤪
Pata picha unasoma fikra za mtu anayekuja kwako kama mwenye mapenzi ya kweli kumbe kajia fedha na mali zako, au unasoma mawazo ya anayetaka kukuwekea limbwata au anayetaka kukuendea kwa mganga