Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Sumve, Marehemu Richard Mganga Ndassa wa kwanza kulia, akiwa na rafiki yake ......furani.......wakati huo akiwa bado na ushamba wake wa kisukuma.

Watu tunatoka mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…