Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mchezaji Kibwana Shomari wa klabu ya Yanga ametozwa faini ya Tsh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuonekana akiondoa taulo la mlinda mlango wa klabu ya Mashujaa lililokuwa limewekwa pembeni ya lango wakati mchezo ukiendelea, jambo lililoashiria imani za kishirikina.

Mchezaji Clement Mzize wa klabu ya Yanga ametozwa faini ya Tsh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuonekana akiondoa taulo la mlinda mlango wa klabu ya Dodoma Jiji lililokuwa limewekwa kwenye lango la klabu hiyo wakati mchezo ukiendelea, jambo lililoashiria imani za kishirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…