Vituko mitandaoni. Tupia chako

Lazima kuna namna maisha yenu ya sasa yanafanana
Ajabu sasa wala hayafanani. Mmoja ni kigogo yuko huko BOT ana pesa kama mvua. Mwingine yuko huko serikalini naye yuko vizuri sana.

Ninachowapendea hawa jamaa ni kwamba hawana majivuno na bado wako grounded. Hicho tu pengine ndicho kinachotuunga pamoja.

Nitakuja kukusalimia 🙏🏿
 
Shimba kumbe una urafiki na vigogo na hatuambiani
nifanyie connection basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…