Vituko mitandaoni. Tupia chako

Jina lake halisi Cheick Ahmed Al-Hassan Sanou, (31) Maarufu zaidi kama Iron Biby, (@ironbiby) ni bingwa wa dunia wa kubeba chuma, amebeba kilo 230.

Iron Biby, Raia wa Nchini Burkina Faso, alizaliwa akiwa na uzito wa kilo 5 katika mji wa Bobo-Dioulasso, nchini humo.

"Mama yangu alisema nilikuwa na mwili mkubwa tangu nilipozaliwa. Nilizaliwa na uzito wa karibu kilo 5 na kupumua sana," Biby aliambia BBC.

Iron Biby anashikilia rekodi muhimu zaidi duniani zinazohusisha na kuinua uzito zinazomfanya mnyanyuaji bora zaidi katika historia.

Ufanisi huo umemfanya Iron Biby kutunukiwa heshima na kiongozi wa nchini humo Kapteni Ibrahim Traore kwa kuiletea nchi hiyo sifa.

#Swipe
Tazama Iron Biby akipata mlo wake..

#CloudsDigitalUpdates

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…