Hao wanaitwa Klu Klux Klan kifupi KKK ni kundi la watu weupe lenye maskani yao Marekani, wanajihusisha na harakati mbalimbali za kigaidi na ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi. Asilimia kubwa ya wanaharakati wa haki za watu weusi miaka ya nyuma waliuawa na kundi hilo.