Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wakati wa eid mulituongelesha kiarabu ,tuliwaambia kuna maisha Baada ya eid
Leo ni mwendo wa kuongea ki Galilaya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatabia mbaya nyie, wachoyo sana na tumekaa kimya lkn nyie mnavyojua kuhaha na eid sasa,


Yaani leobhata salam hakuna,no sms no calls
, naogopa hata kusalimia mtu isije ikwa naomba muariko



Eid mwezi wa tetu si mbaliii.
 
FUTA KIOO TU
Kuna wakati haina maana kupoteza nguvu zako kufuta bodi ,we hangaika na kioo tu.
Acha tope la kwenye body likukumbushe mapambano, lakini ukiliacha kwnye kioo UTAPOTEZA PAMBANO
Yesss....namaanisha hivi....
Usiruhusu mapambano ya maisha, masimango, dharau, wivu na chuki zikuzibe ufahamu wako...zikutie unyonge..zikunyime kujiamini...usikubali.
Acha wazione kwenye mdomo yao lakini wewe usizione kwenye ndoto zako.
Kwanini unatumia muda mwingi kutaka uoshe gari lote ndo uendelee na safari wakati unahitaji pakuonea bara bara tu? Hangaika na kioo tu best, utaosha lote ukifika.
Pangusa kioo, Pasua tope.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…