Vituko mitandaoni. Tupia chako

#Kitanda Hakizai Haramu
#Ukichapiwa Kausha 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Miaka ile ya 1967 ilikuwa kawaida mtoto wako akafanana na Baba wa jirani, na ilikuwa kawaida maana Mama akiwa mjamzito akimchukia jirani basi anakuwa amebeba mtoto atakayefanana na jirani 😜

Msemo wa kitanda hakizai haramu tumetoka nao mbali sana Wazee 🤗🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Vijana wa sasa wabishi sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…