Vituko mitandaoni. Tupia chako

NIMEOGOPA SANA MNO YAN NIMESIKITIKA

Kati ya Vijana 10 waliomaliza Chuo kikuu , vijana 5 ndo wenye uwezo wa kuandika ukurasa wa maneno kadhaa bila kuchanganya herufi L na R kwenye Kiswahili

Katika vijana 10 waliomaliza Chuo kikuu, 7 Kati yao Lugha waliyofundishiwa hawana uwezo wa kuiongea kwa ufasaha yaani kujieleza kwa lugha husika Hawawezi

Kati ya Vijana 10 waliomaliza Chuo kikuu 6 Kati yao hawajui historia ya nchi yao ukiwauliza wana kwambia hatujaenda kusoma historia au fani Hiyo, wakati jambo unalomuuliza tulijifunza form one Mpaka three, na mengine ni ya Primary kabisa

Katika vijana 10 waliomaliza Chuo kikuu vijana 9 hawajahi igusa katiba ya Tanzania na kujisomea,

Kati ya Vijana 10 wanaomaliza Chuo kikuu basi 9 Kati Yao wanasaka ajira, mmoja tu ndo anawaza kuwekeza au jinsi ya kupata mtaji kufanya mambo yake!

Mwisho kabisa Katika vijana 10 waliomaliza Chuo kikuu basi 9 wana app ya Udaku

Niendelee kulia Kama @ExMayorUbungo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka FB

Naona mnanichokoza na kunipima nishawasoma kwenye ramani

Asili haitaki kulipa kwa sababu makombola yenu yamefeli sasa ngoja niwajaribu nione uwezo wenu .

Makombola nayarusha ,msinitishe alafu sihitaji mje kuomba msamaha

Eti albadili ,sasa tuone albadili yenu ,Niko pale nimekaa


Mganga hatukanwi na hakitukanwa huyo ni feki


Vita vita mura ,hii ni vita ya kiroho ,kama una macho huwezi kuona hadi uwe kipofu

Lazima ujue mbinu zote za kivita lasivyo unaumbuka

Asili kwanza


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…