Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania


Nipende kutumia fursa hii kumshukuru Mungu Kwa zawadi ya uhai .

Vilevile niwapongeze Kwa mapambano ya Kila siku ya kuwatumikia wanafunzi wenzetu.

Ndugu viongozi katika mkutano mkuu 25/11/2023 tulitangaza fursa Kwa chuo Cha Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology ( MJNUAT ) ambacho kipo Musoma ni chuo Cha serikali.

Chuo kinahitaji wanafunzi 100 lakini mpaka Sasa Kuna wanafunzi 20 tu ndio wameomba ambao nimewatafuta mimi , tafsiri yake ni kwamba fursa hii hatujaifikisha Kwa wanafunzi


NB: wanafunzi Hawa wanapewa mkopo 100% naomba tusambaze upendo kama Kuna mtu anahitaji awasiliane Kwa no . 0713964972 Kwa maelekezo zaidi .

Aidha , wanaotaka kuhamia pia wanaruhusiwa ,kozi zinazotolewa katika chuo hicho ni :

1. Bsc-agricultural economics and agribusiness
2. Bsc-Aquaculture
3. Bsc-Computer science......

Asanteni sana .

Madam P .

VIA;
Wizara ya fedha na mikopo -SOSJCET
Innocent Wilbert Mollel -Waziri
#0694094178

Getrude Mgonja -Naibu waziri
#0788886069

Mfikishie fursa hii ndugu, jamaa na rafiki yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo kimeshakanusha!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…