Pole sana tena kama una upendo wa dhati na unafanyiwa hivyo.
sasa basi jikaze kisabuni, usiulizie tena hiyo laptop ni material tu ndugu yangu isikupotezee muda..kuwa kimya usimtafute, najua ni ngumu sana ila jitahidi..usijibizane na huyo mdada mana unaweza kutukanana na wanawake lukuki kumbe tatizo ni mwandani wako.
Hebu uwe kimya kidogo uone atafanyaje..pia mwenzio anaweza kuwa hayupo tayari kindoa, usimlazimishe.