vitu za town

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
48
nipo h0me na m'babez waukweli macho mazuri kapendeza kinoma tuna sikiliza sweet raggel when you gone ya cecile inasikika kwa mbaliiii ila hakuna kugegedana asee chalii nimesizi.... kumbe ujana ndo upo hivi? asee ni sheeeda a.k.a problem

[kanituma niwape hizi habareeee]
 
shule tayari bado maana ss kazi kubwa humu
 
hee!! sasa hapa vitu vitu za town ziko wapi??

by the way, umetaka chai.... usije lalamika umeungua!

si ulitaka, sssss!! ahh!! usije lalamika unaunguaaa!!

 
Last edited by a moderator:

nakufananisha na XXX ni ndugu yako?
 
hivi ni sherehe za miaka 50 ya mapinduzi imesababisha haya au?
 
No!!!! Tufungue jukwaa la watoto hapa wanatutinga mpaka tunashindwa hata juongea na mama zao.

hilo nalo neno!!! kuna wakati unahisi jukwaani kuna utoto tu kumbe ni baadhi ya watu ni watoto wakubwa. kazi tunayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…