zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
Hahahaaa,Kumbe na wew upo Kama mim kimtazamo,Duh nashangaa tu majina ya vitu na bei contrary kabisaa
SijawalewaHahahaaa,Kumbe na wew upo Kama mim kimtazamo,
hahaha ulitaka kutapeliwa eee jf... humu kuna mpaka panya roadUkishatapeliwa leta namba tulinganishe na za walotaka kunitapeli Mimi ambao ni wa JF.
Tengeneza mazingira ya kufanya biashara na watu unaowafahamu na sio mtandaoni. Wengi wanatumia technic ya kuja kuona vitu na kupafahamu kwako ili wapange tukio.
Take it or leave tu, utanipa mrejesho usipokuwa mjanja.
Kitanda cha mining cha sita kwa sita nagodoro bei 280,000
Kikabati chambao kidogo bei 90,000
Kapeti la nyoya upana futi 5,3 urefu futi 7,3 bei 180,000
Redio subwoofer Samsung bei 200,000 ila remote imeharibika
Sababu yakuza nataka kubadilisha vitu
vipo Dar es salaam sehemu Mbagala Kichemchem
Simu 0712690760
Picha hizo