Vitu vya ndani vinauzwa Mbezi Africana

Vitu vya ndani vinauzwa Mbezi Africana

TV brand yake Startimes??? Really??
Ndio mkuu
JPEG_20210401_132012_1241249201588945664.jpg
 
Shuha bei uuze hivyo vitu mkuu, maana bei yako ni sawa na dukani kabisa.

Hivyo vitu ni used tayari
 
Kula 2M vitu vyote na uniachie hilo getho nihamie, kodi nitalipa mwenyewe.
 
Themosi ya chai niuzie,nina elfu 5
 
Mbn sikuelewi
Wewe amua utafutwe kwa namba za kawaida au wewe tapeli
Mm nipo africana hapa nataka hizo lamp nashangaa unataka nianze kukusave mara tsap
 
mhhh, sio kweli mkuu hakuna mtu niliyemwambia anisevu au kuongea nae nje ya mada husika, hiyo namba 0742537423 ni wasap tu na 0788656975 na 0655374238 zinapatikana kawaida, hakuna mahali nimelazimisha unisevu mkuu namba zote ngeni wanaonichek wasap naziacha kama zilivo,
 
Sawasawa
 
Mkuu ulishauza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom