Kama ndio unaanza life achana na hiyo kitu,dunduliza kile unachokipata then jitahidi kusave kiasi flani kwa mwezi utajikuta hapo ndani pamejaa TV nzuri,fridge Kali,music system na kila aina ukitakacho ila kua mvumilivu tu.Usipende sana kukopa pia usiige maisha ya mtu mwingine,live you're life.....kila la kheri.