M Mzzzzz New Member Joined Apr 21, 2018 Posts 2 Reaction score 1 Apr 29, 2018 #1 Wapendwa wana jf naomben mnisaidie nijue vitu vya muhimu katika Practical Interview(Interview ya Vitendo)
Wapendwa wana jf naomben mnisaidie nijue vitu vya muhimu katika Practical Interview(Interview ya Vitendo)
kalanga Member Joined Feb 2, 2011 Posts 79 Reaction score 70 Apr 29, 2018 #2 Mzzzzz said: Wapendwa wana jf naomben mnisaidie nijue vitu vya muhimu katika Practical Interview(Interview ya Vitendo) Click to expand... Kitu cha muhimu zaidi ni kufuata procedure za hiyo practical,hata kama utashindwa kumaliza lakini kama utakua umefuata procedure vizuri itakusaidia na uwe accurate na unachokifanya hata kama ni kidogo
Mzzzzz said: Wapendwa wana jf naomben mnisaidie nijue vitu vya muhimu katika Practical Interview(Interview ya Vitendo) Click to expand... Kitu cha muhimu zaidi ni kufuata procedure za hiyo practical,hata kama utashindwa kumaliza lakini kama utakua umefuata procedure vizuri itakusaidia na uwe accurate na unachokifanya hata kama ni kidogo
Mr Mose JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 369 Reaction score 529 Apr 29, 2018 #3 Practical gani kwanza au ndo zile za form three
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,013 Apr 30, 2018 #4 define practical interview
Mambembe JF-Expert Member Joined Mar 2, 2018 Posts 2,217 Reaction score 2,971 May 1, 2018 #5 Mr Mose said: Practical gani kwanza au ndo zile za form three Click to expand... Ndo nilitaka kuuliza
Mr Mose said: Practical gani kwanza au ndo zile za form three Click to expand... Ndo nilitaka kuuliza
Mr Mose JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 369 Reaction score 529 May 1, 2018 #6 Mambembe said: Ndo nilitaka kuuliza Click to expand... Kumbe huu uzi bado upo