Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,019
- 42,287
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Mapenz ni kitu cha furaha sana hasa ukimpata anayekupenda
Kuna vitu vya kuzingatia endapo uko kwenye penz la maana penz la kweli
Unaweza kumpata mtu akakuamin ikafikia had hatua ya kukukabiz moyo wake
Fanya haya kama utapata mtu mwenye upendo wa kweli
1 UWE NA AHAD ZA KWELI
2 USIWE KIONGO KIONGO
3 UJUE KUDEKA NA KUDEKEZA
4 UWE MWAMINIFU
5 USIWE MNJANJA MJANJA SANA
6 UMPENDE KWA MOYO WOTE
7 USIWE LIMBUKEN
8 UJUE KUJAL YAAN UMUJAR
9 UWE NAYE KWENYE SHIDA
hii moja iliyobaki ni kwa wanaume tu USIYUMBE KIUCHUMI
ONYO kwa wale wenye viblog vyenu achen kuwa mnacopy story zangu tafadhal mimi naumiza kichwa sana kuleta hiz story hapa, achen mambo yenu bhana
Kuna kiblog kinacopy kila kitu yaan kinacopy had had CC MBITIYAZA NA LONDON BABY, hata kama ukikopy mbitiyaza na london baby itoe bas siyo kucopy vyote hivo
LONDON BABY