Sisi watanzania ni watu wa ajab sana. Tunakimbilia vitu vikubwa na uwezo hatuna. Badala tungewaza na kupanga mfumo wa maji safi na salama ya bomba iwafikie kila mwananch Tunakimbilia vitu ambavyo havina tija. Popo bawa anatuadhib sometimes turudi kwenye track lakin wapi tumebaki kupumuliwa na mazombie tu. Paaambaff