Sikh moja jamaa mmoja aliingia dukani kwa mchina na kumwambia mchina kuwa
Jamaa:vitu vyote vilivyomo humu kutoka Uchina ni fake
Mchina:thubutu! Ijaribu sumu ya panya kama fake
Nalog off
Siyo kila kilichoandikwa made in China ni kweli kimetoka china. Vingine vinazalishwa Tabata. Na si kweli kuwa China wanazalisha bidhaa fake tu na original wanavyo

China wanazalisha kulingana na soko la hizo bidhaa linavyohitaji. Kama hapa kwetu tunapenda bei rahisi. Vitu Mchina anayouza Marekani ni tofauti na vya hapa kwetu kutokana na ubora na pia bei yake. Kitu bora hakiwezi kuuzwa bei rahisi!