Ninauza vitu hivi kwa sh. mil 1.2 tu. Kitanda 6×6, godoro Qfl Dodoma 6×6 unene inch 10, redio (subwoofer pinetech original na speaker zake 5), TV Panasonic original inch 21na meza yake, deki singsung HDMI, king'amuzi cha Startimes free local channels, antenna na wire wake, makochi mawili: moja la watu 3 na lingine la watu2, meza ndogo, viti viwili vya plastic, pasi aina ya Phillips pamoja na vingine vingi. Vitu hivyo vyote nimevitumia ndani ya miezi 6 tu na vyote viko kwenye hali nzuri kabisa. Napatikana banana kitunda no. 0625667291.