facepozz marketplace Member Joined Apr 29, 2018 Posts 31 Reaction score 9 Oct 9, 2021 #1 MALIPO YOTE YAFANYIKE BAADA YA KUJIRIDHISHA NA KUPITIA UONGOZI WA SERIKALI. KARIBU SANA,WASILIANA NASI:0747175984
MALIPO YOTE YAFANYIKE BAADA YA KUJIRIDHISHA NA KUPITIA UONGOZI WA SERIKALI. KARIBU SANA,WASILIANA NASI:0747175984
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,732 Reaction score 6,631 Oct 9, 2021 #2 Mbona bei hujaweka? Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
K Kashishi yetu JF-Expert Member Joined Mar 22, 2014 Posts 3,634 Reaction score 3,944 Oct 10, 2021 #3 Nyumba ikishakuwa na choo cha kukaa tu kwangu imepoteza thamani
Mzee Wa Kale Kabisa JF-Expert Member Joined Mar 25, 2018 Posts 2,627 Reaction score 4,345 Oct 10, 2021 #4 Ule usoro wa kudai kodi ya mwezi mmoja ndio mnapozingua
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,930 Oct 10, 2021 #5 Inapendeza...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,575 Reaction score 74,399 Oct 10, 2021 #6 Kashishi yetu said: Nyumba ikishakuwa na choo cha kukaa tu kwangu imepoteza thamani Click to expand... Hicho Ndiyo Choo Cha Hovyo Halafu Watu Wanavipenda
Kashishi yetu said: Nyumba ikishakuwa na choo cha kukaa tu kwangu imepoteza thamani Click to expand... Hicho Ndiyo Choo Cha Hovyo Halafu Watu Wanavipenda