Kuna vitu, ambavyo ni vigumu kutokea. Ronaldo kwenda kucheza barcelona, messi kuchezea madrid, neymar jnr kurudi barca, watu wanachukiana balaa. hebu fikilia kikawada tu jinsi ilivyo ngumu, neyma kuludi kwa waajili wake wa zamani. alivunja munganiko wa MSN, wakatalunia walimwita msaliti, sasa iweje arudi. ni mara mia akaenda madrid. nadhani ndo sehemu panapo mfaa, kutokana na kipaji chake matata.
Ni kweli ni ngum sana na haiwezekani na haita wezekana,shetani kumuomba msamaha Mungu alie hai ili awe chini ya Mungu.maana alisha jiona ni Mungu wa dunia.