Vits RS

Vits RS

A.Ngindo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
279
Reaction score
106
Habarini wanajamvii Naombeni mwenye abc's za hii gari anisaidie kidogo haswa kwenye swala la bei ya kununulia gari.katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kuuza magari Japan nimeona bei yake iko juu kidogo haswaa'ukilinganisha na vit's clavia na vits models nyingine ambazo Sio Rs Naombeni kujua nini kina chagiza hili je hili gari ni Bora kuliko hizi vit's models nyingine?
 

Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    53.4 KB · Views: 20
Kwanza vits rs ni ina body nzuri la kiushindani kulinganisha na models nyingine pia ni bora zaidi fuel economy yake iko guud
 
Back
Top Bottom