PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,871 Reaction score 23,488 Mar 17, 2016 Thread starter #21 Mainus said: Mh inapikwaje hiyo Click to expand... Unawakaanga kwa mafuta kisha unachanya na masalo na spices. Wanakwenda kwa viazi mbatata au wali. Yaani ukiwakaribisha wageni ujue hawaondoki ng'o.
Mainus said: Mh inapikwaje hiyo Click to expand... Unawakaanga kwa mafuta kisha unachanya na masalo na spices. Wanakwenda kwa viazi mbatata au wali. Yaani ukiwakaribisha wageni ujue hawaondoki ng'o.
pyramid Member Joined Jan 25, 2016 Posts 48 Reaction score 27 Mar 18, 2016 #22 nilokuwa silifahamu Hilo nashukuru kwa info
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,732 Mar 18, 2016 #23 ydn said: Im done with this page! Click to expand... ahahahaha
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,732 Mar 18, 2016 #24 supu ya chatu
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,871 Reaction score 23,488 Mar 21, 2016 Thread starter #25 2hery said: Nyama ya mtu inauzwa wapi hapa TZ? Click to expand... Are You serious?