Hehehe nimetoka kummuliza mdau hapa swali hilo hilo.
Kama una mtoto unamwandikisha online halafu wanachaguliwa kwa bahati nasibu. Hivyo ni mtoto yoyote tu unaweza kumweka ila awepo mji husika.
jamaa huwa wanaandikisha watoto wao ili waingie na wachezaji.niliona kioja mzee alimwandikisha mwanae tangu siku anazaliwa aje aingie na wachezaj miaka saba baadae