Viti vya ofisini vinauzwa

Viti vya ofisini vinauzwa

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,286
Reaction score
1,420
Viti vya ofisini , unaweza kuvipandisha na kushusha chini imported from U.K . Bei kuanzia sh 150.000.00. vinapatikana Majohe Dar , Kama unavihitaji piga simu 0712652110
 
Kama unaweza kuuza na kupokea malipo kwa installment, njoo pm.Ninahitaji viti vingi na ofisi ina mambo mengi miezi hii ya karibuni.
 
Kama unaweza kuuza na kupokea malipo kwa installment, njoo pm.Ninahitaji viti vingi na ofisi ina mambo mengi miezi hii ya karibuni.
Weka namba yako ya simu tuongee, nataka kujua ofisi iko wapi, mkataba ni wa miezi mingapi
 
Back
Top Bottom