Wadau nahitaji viti vya baa vya kaunta vya kisasa kwa ajili ya ka grosary kangu
nipo mpanda kwa mdau yeyote aniambie vnapatikanaje, usafiri na bei yake, vizuri zaidi kama nitapata picha na ufafanuzi mzuri kwa aina tofaut tofauti ya viti hivyo.
Ahsanteni
mkuu naomba bei kwanza
mkuu naomba bei kwanza