mpaka aibu,, hapa Goma huwa kuna matukio huwaandaliwa na ma diplomats na ma expats ili kuchangia mifuko ya mayatima... kuna hili la vitenge na kanga... cha ajabu waalikwa wacongo kwa kusikia party ni ya wazungu huja na vitopu wakati wazungu wanaingia na vikwembe... aibu sana