Vitanda vya sofa Dodoma

Ahueni unauza bei rafiki kama ile ya Iringa mjini. Pale maeneo ya Meriwa kama unaeelekea mjini, kuna jamaa wanauza bei ya kulangua mpaka basi.
 
Kwanini vinaitwa vitanda vya sofa ikiwa havina sofa.

Nilidhani hicho ndio kinapaswa kuwa kitanda cha sofa.
 
Havilegei?
Nikipigia show hapo hakitaanza kutoa sauti hicho??
 
Mkuu ebu toa location maana jana (usiku) nimevunja chaga..πŸ˜‹πŸ˜‹ na umeweka tangazo wakati muafaka kabisa..🀝
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…