Vitanda vya kisasa vya sofa bei nafuu Zanzibar

Vitanda vya kisasa vya sofa bei nafuu Zanzibar

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
619
Reaction score
366
Habari wakuu.! Natengeneza vitanda vya kisasa vya sofa kwa bei nafuu, nipo Zanzibar.

4/6 bei laki tatu na nusu
5/6 bei laki nne.
6/6 bei laki tano
ukihitaji nicheki 0679478758 au 0624078758
 
Attachments

  • IMG_20190927_163227.jpg
    IMG_20190927_163227.jpg
    281.2 KB · Views: 73
  • IMG_20220713_162333.jpg
    IMG_20220713_162333.jpg
    363.9 KB · Views: 55
  • IMG_20190927_163227.jpg
    IMG_20190927_163227.jpg
    281.2 KB · Views: 48
  • IMG_20220713_162400.jpg
    IMG_20220713_162400.jpg
    499.8 KB · Views: 52
  • IMG_20220309_193409_10CS.jpg
    IMG_20220309_193409_10CS.jpg
    423.3 KB · Views: 51
  • IMG_20190927_163227.jpg
    IMG_20190927_163227.jpg
    281.2 KB · Views: 42
  • IMG-20210622-WA0022.jpg
    IMG-20210622-WA0022.jpg
    40.2 KB · Views: 44
  • IMG_20190927_163227.jpg
    IMG_20190927_163227.jpg
    281.2 KB · Views: 39
  • IMG-20220308-WA0004.jpg
    IMG-20220308-WA0004.jpg
    40.2 KB · Views: 41
Umechemka yani hivyo vitanda mimi naviita uchafu! Mafinga 6/6 wanauza 250K na 5/6 ni 150 - 170.
Dodoma 6/6 ni 300 - 350 na 5/6 ni 200 - 250.

Mambao ya hovyo vitambaa ni bei chee sana.
Wauzie wazanzibar hukohuko
 
Hii swahili baya sana naharibu biashara ya menziwe kama yeye pungukiwa na pesa fukoni.😁
 
Umechemka yani hivyo vitanda mimi naviita uchafu! Mafinga 6/6 wanauza 250K na 5/6 ni 150 - 170.
Dodoma 6/6 ni 300 - 350 na 5/6 ni 200 - 250.

Mambao ya hovyo vitambaa ni bei chee sana.
Wauzie wazanzibar hukohuko
Umechemka yani hivyo vitanda mimi naviita uchafu! Mafinga 6/6 wanauza 250K na 5/6 ni 150 - 170.
Dodoma 6/6 ni 300 - 350 na 5/6 ni 200 - 250.

Mambao ya hovyo vitambaa ni bei chee sana.
Wauzie wazanzibar hukohuko
Pole sana, wanaojua biashara hawapigi kelele za hovyo, labda kwa kukusaidia tu, ushawahi kujiuliza kwanini mbeya/mafinga nyanya za buku unapata karibia kisado kizima? Na kwanini ukija Dar nyanya za buku hazifiki hata kumi? Ushawahi kujiuliza kwanini bei ya mbao ft 12 upana wa 1/4 mbeya/mafinga ni shilingi 2500/= na Dar bei ni 6500/= na Zanzibar 9000/=?
Ukiyajibu hayo maswali usirudie tena kuropoka mbele za watu wanaojielewa labda kama una tatizo LA akili hapo sitakulaumu.
 
Back
Top Bottom