Vitanda vya chuma toka Autoguru Workshop

Vitanda vya chuma toka Autoguru Workshop

Mecky Hamphrey

Senior Member
Joined
May 2, 2013
Posts
101
Reaction score
18
Karibu Autoguru workshop kwa mahitaji ya fenicha za nyumbani ofisini, mashuleni, vyuonina garden

Tuwasiliane kwa namba 0688767668 au 0715967107

Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil

d3020f03b457c14f53b3a699102ef9aa.jpg
 
Weka picha mliotengeneza wenyewe sio hicho cha kudownload kwenye internet
 
k
Karibu Autoguru workshop kwa mahitaji ya fenicha za nyumbani ofisini, mashuleni, vyuonina garden

Tuwasiliane kwa namba 0688767668 au 0715967107

Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil

d3020f03b457c14f53b3a699102ef9aa.jpg
kitanda hiki mnatengeneza kweli au ni lugha za biashara tu, manake biashara ina lugha zake bana
 
Tuna website pia unaweza kudownload hapo, metal bed is metal bed iwe online au offline.karibu
 
Tuna website pia unaweza kudownload hapo, metal bed is metal bed iwe online au offline.karibu

Mkuu kwanza hongereni sana.
Pili, sio suala la metal bed, hiyo picha mliyoweka mnatengeneza wenyewe?
 
Karibu ofisini kwetu utaona kazi mbali mbali sio vitanda tu, tuna deal na office furniture, desks za shule pamoja na general home furniture
 
Back
Top Bottom