Vitanda vya Bei nafuu (iron bed)

famoyusem613

New Member
Mar 7, 2017
2
0
Tunauza Vitanda vya chuma kwa bei nafuu fika linyandu workshop au tuandikie famoyusem@gmail.com au no. 0628686345
f88fe47dc94af6df4a629a382f0acfe5.jpg
IMG_20170308_075845.jpg
IMG_20170318_201116_366.jpg
IMG_20170313_042159_167.jpg
 
Acha matumizi mabaya ya mtandao huu, tafadhali ainisha bei hapa...ili tuone kama ni bei nafuu au wewe ni mlaghai unataka kuwarubuni wasiojua
Weka bei na sample ya picha hapa
 
Bei nafuu utasoma ataandika laki tatu na nusu ama NNE, bei nafuu iwe laki unusu, hapo tutaenda sawa na hii kasi ya 8G
 
Vitanda Tsh. 300,000 inategemea na Aina ya materials utakayotumia na mm Co dalali ni Fundi na Co wa mtaanie Pekee nimebahatika kusoma welding kwa muda wa miaka sita na nimefanya kazi na makampuni tofauti famoyusem613 hii ni Nick name tu naitwa faraji Mohamed yusuph seleman mnyongo na 6=f na m=13 majina nauli ya watu wa karb Sana na Nina certificate inayoniruhusu kufanya kazi za welding eneo lolote duniani baadae nitaambatanisha certificate zangu zote ili mukubali kuwa mm Co dalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom