Thibitisha kuwa wewe ni raia wa Tanzania pasi na shaka. Unaweza kupata, lakini kama wewe ni sawa na wale wenye uraia wenye utata, bora ahirisha hiyo safari yako uendelee kuishi Tanzania, vinginevyo hata huo ukazi wa kuibia utapoteza.
NIDA wanajitahidi sana kufanya kazi hii kwa weledi, licha ya matatizo madogo madogo yaliyopo mantiki yao nzuri. Baada ya zoezi kwisha naamini tutagundua maelfu ya wasio watanzania wenye passport zetu.