Vitambulisho vya Taifa Vimebandikwa Wapi?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Nakumbushia wadau tu mwenye uelewa wa kinachoendelea kuhus hili zoezi maana lilianza kwa nguvu sana na limepoa kwa nguvu sana
 
Walishavuta chao mapema so wanalia kivulini tu... Bongo ni ubunifu tu.
 
yaani wewe ukishindw kupata taarifa ya ja?mbo(huenda kwa uzembe wako) unalaumu kuwa jambo hilo liomepoa? si juzi tu zoezi la kupiga picha kwa awamu ya kwanza limekamilika? wewe ulikuwa bize na kombe ka cecafa na misiba ya vifo vya wasanii so hukufuatilia then unalaumu kwa limepoa?. o.k. nenda mnazi mmoja sasa hivi, rais nahutubia taifa.
 
Walishavuta chao mapema so wanalia kivulini tu... Bongo ni ubunifu tu.
Hapana wakuu,tusiwe watu wa kulalamika tu,walishatoa ratiba ya kupata hivyo viatambulisho,mwezi wa kwanza 2013,watapewa kwanza watumishi wa umma,na baada ya hapo watafuata raia wa kawaida!
 
Gama upo? nakukumbuka sana wewe.........................picha walianzia kupiga kwenye ule mkutano wetu mkuu?
 
Hapana wakuu,tusiwe watu wa kulalamika tu,walishatoa ratiba ya kupata hivyo viatambulisho,mwezi wa kwanza 2013,watapewa kwanza watumishi wa umma,na baada ya hapo watafuata raia wa kawaida!
kwenye kodi inakua kinyume wanaanza kutoa raia kwanza halafu zinatumiwa na watumishi wa umma, any way kama ndovyo si haba kuchokoza taarifa na nakushukuru
 
Mkuu kwenye kodi mtumishi wa umma anakatwa at source,hana namna ya kukwepa kodi,tofauti na wananchi wa kawaida hasa wanaolipa direct tax,kuna loopholes nyingi sana za kukwepa kodi!
 
asante kwa taarifa mtumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…