Vitabu vyenye nguvu duniani ambavyo hautafundishwa shuleni: Siri kubwa ya utajiri wa ulimwengu

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,155
By
Æfrica Macka Bara
-------------------------------------

Je, umefundishwa katika dini yako kuwa Biblia na Quran ndio vitabu pekee vyenye nguvu na maajabu? Ni kweli vitabu hivi ni miongoni mwa vitabu vyenye maajabu, ila kuna baddhi ya vitabu vinavyofichwa kutokana na nguvu zake za kubadili maisha ya watu, kwa utajiri ama wakawa masikini wa kutupwa na hata kuwa wenye mikosi mikubwa.

Dunia imejawa siri ambazo wachache wanazitumia kujinufaisha na kujitajirisha, huku wakiwadanganya wengine Kuwa ili ufanikiwe basi wafaa upate muda wa kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa, uwe mvumilivu, Ufanye kazi kwa bidii na mambo mengine mengi,
lakini hawakuambii mambo ya siri wanayoyafanya na vitabu vya siri wanavyosoma ili kukuza utajiri wao na mvuto wao katika ulimwengu.

Leo hii nimekuletea vitabu vya siri zaidi ya Biblia na Quran, vyenye nguvu sana, na vinavyotumika kubadili maisha ya Matajiri wa dunia hii, na imebakia kuwa siri kwao, wakiificha kwa nguvu zote na kuhakikisha wachache wanaifahamu, huku wengi wakitiwa hofu ya kuiogopa siri hii na kuviona vitabu hivi kama vya mashetani.

1. The Book of Abramelin the Mage – Kitabu cha kale cha uchawi kinachoeleza njia za kuwasiliana na malaika na nguvu za kichawi. Kitabu hiki kina nguvu za kukufundisha ushirikina na upeo wa juu unaopita uwezo wa kawaida wa mwanadamu.

2.The Lesser Key of Solomon (Lemegeton) – Kitabu cha uchawi kinachodaiwa kuwa na mafundisho ya mfalme Sulemani kuhusu majini na roho. Ni kitabu kinachosadikika kuandikwa na mfalme wa Israel ajulikanaye kama sulemani, kikiwa kimejaa elimu ya kiroho, na namna ya kuyatumia majini katika shughuli za kila siku bila kutumia nguvu kubwa.

3.Picatrix – Kitabu cha uchawi wa Kiarabu kinachoeleza jinsi ya kutumia nyota na sayari kwa utajiri. Masomo mengi yanayohusiana na nyota pamoja na bahati, hutolewa katika kitabu hiki cha ajabu. Kuna matamshi ya kiarabu katika kitabu hiki yenye nguvu ya kuleta maajabu usiyotarajia, ambayo sitayasema katika makala hii kwa kuwa sifundishi uchawi, nafunua siri zilizofichwa na mabeberu wachache ili waendelee kuitawala dunia hii kiuchumi na kuwa na nguvu ya ushawishi.

4.The Kybalion – Kitabu cha Hermeticism kinachofundisha sheria saba za ulimwengu zinazodaiwa kuwa na nguvu za kimetafizikia, zinazoleta mvuto kwa watu wanaokutazama, ushawishi kwa wanaokusikiliza na Nguvu ya fedha.

5. The Secret (Rhonda Byrne) – Kitabu kinachoelezea sheria ya mvutano (Law of Attraction) na jinsi ya kutumia mawazo kuvutia mafanikio na utajiri. Kitabu hiki ni cha ajabu maana kimejawa na siri zenye uwezo wa Kubadili uchumi wako.

6. Necronomicon – Ingawa ni kitabu cha kubuniwa na H.P. Lovecraft, kimekuwa na hadithi nyingi zinazodai kuwa kina maelezo ya siri za ulimwengu. Usisome kitabu hiki maana kinaweza kuleta shida maishani mwako bila kupata mwongozo kamili.

7.The Voynich Manuscript – Kitabu cha ajabu kilichoandikwa kwa lugha isiyojulikana na hakijafasiriwa hadi sasa. Kimekosa tafsiri yake kutokana na ukweli kuwa kiliandikwa katika lugha ambayo haipo hapa duniani, ama ilikuwapo ila imepotea.

Vitabu hivi ndivyo vinavyowafanya watu kuwa na mvuto, na utajiri mkubwa duniani. Kwa kweli huwezi kuwa na mvuto mkubwa ama utajiri mkubwa duniani pasina kusoma vitabu hivi na kufuata kanuni zake, wenda kama utakuwa tajiri kijijini kwenu lakini si duniani.

Nikiwa namalizia, kuna Vitabu vyenye nguvu ya kukutajirisha, vyenye nguvu ya kukulaani na hata kukuletea mikosi isiyokoma, ambavyo vimekuwa vikihifadhiwa kwa siri sana, ili kutumiwa na wachache kwa malengo mahususi. Wapo watu kadhaa wanaopinga nguvu ya maandishi katika vitabu wakiidharau na kuyaona maandishi kama herufi za kawaida sana, lakini ukweli ni kuwa kuna nguvu katika vitabu, kuna maajabu katika vitabu na kuna watu waliofunga maisha yao kwa kusoma vifungu fulani kimakosa katika vitabu. Hebu kuwa makini na kila kitabu unachosoma. Hakikisha kwanza kitabu usomacho ni salama, maana kuna vitabu kama vile "Necronomicon, The book of Soyga, The grand Grimoire, n.k" vinavyoweza kukuletea shida na hata mikosi maishani mwako.
 
Certainly. Here's a professional summary of The Secret by Rhonda Byrne:

Book Summary: The Secret by Rhonda Byrne

Core Concept:The Secret centers around the "Law of Attraction," which posits that thoughts are magnetic and have the power to shape reality. According to Byrne, positive or negative thoughts bring corresponding positive or negative experiences into a person’s life. The core idea is: “You become what you think about most.”

Key Principles:

  1. The Law of Attraction
    • Like attracts like. If you think positive thoughts, you'll attract positive outcomes. Conversely, negative thoughts will bring negative results.
    • The universe responds to your thoughts as if they were commands.
  2. Ask, Believe, Receive
    • Ask: Clearly define what you want.
    • Believe: Truly believe it's already yours; remove doubt.
    • Receive: Feel the joy and gratitude as if it's already happened, which sets the manifestation process in motion.
  3. Visualization
    • Regularly visualize your goals and desires as already achieved.
    • This strengthens belief and aligns your frequency with what you want.
  4. Gratitude
    • Being grateful attracts more to be grateful for.
    • Gratitude shifts your energy and raises your vibrational frequency.
  5. Positive Thinking and Affirmations
    • Focus only on what you want, not on what you don’t want.
    • Use affirmations to reinforce your desires and maintain a positive mental state.

Applications:

  • Health: Visualize perfect health and focus on wellness, not illness.
  • Wealth: Feel wealthy and act as if financial abundance is already yours.
  • Relationships: Love yourself and others, and you’ll attract loving relationships.
  • Career: Think about success, not stress or obstacles.

Criticism & Considerations:

  • The book has been criticized for oversimplifying complex life circumstances and for placing too much emphasis on personal thought as the sole driver of reality.
  • It lacks scientific backing, relying more on anecdotal and philosophical support.
  • Still, many find its ideas empowering and motivational for taking control of mindset and emotional state.

Conclusion:

The Secret is a motivational and self-help book that encourages individuals to harness the power of positive thinking and belief to manifest their desires. While controversial in its scientific rigor, its principles can be useful when combined with action, discipline, and realistic expectations.
 
Sol- Om-On
Vipande vyote vitatu hivyo vina maana ya Jua katika maeneo tofauti.
Sol--- Latin ( Sun ).
Om---Hindu ( Sun ).
On---Egypt ( Sun ).
Mleta mada nataka utueleze Solomon unayemzungumzia wewe ni system au yupi ?
 
Absolutely. Here's a professional summary of The Kybalion, ideal for understanding and sharing.

📘 The Kybalion: A Study of the Hermetic Philosophy of Ancient Egypt and Greece

By Three Initiates (1908)

🧠 Overview

The Kybalion explores Hermetic philosophy, rooted in the teachings of the mythical sage Hermes Trismegistus, believed to be a fusion of the Egyptian god Thoth and the Greek god Hermes.

It introduces seven Hermetic principles that are said to govern the natural, mental, and spiritual laws of the universe. The text is both philosophical and metaphysical, offering a framework for understanding reality and mastering the mind.

🔑 The 7 Hermetic Principles

1. The Principle of Mentalism

“The All is Mind; the Universe is Mental.”

  • Reality is a mental construct. Everything originates from universal consciousness (the "All").
  • Our thoughts shape our experience of the world.

2. The Principle of Correspondence

“As above, so below; as below, so above.”

  • Patterns repeat across different levels: spiritual, mental, and physical.
  • By understanding one plane, we gain insight into others.

3. The Principle of Vibration

“Nothing rests; everything moves; everything vibrates.”

  • All matter and energy are in constant motion.
  • Different states of being (thoughts, emotions, physical forms) vibrate at different frequencies.

4. The Principle of Polarity

“Everything is dual; everything has poles.”

  • Opposites are the same thing in varying degrees (e.g., hot/cold, love/hate).
  • Mastery comes from recognizing and harmonizing opposites.

5. The Principle of Rhythm

“Everything flows, out and in; everything has its tides.”

  • Life operates in cycles: rise and fall, advance and retreat.
  • Understanding rhythm helps us anticipate and manage life’s ups and downs.

6. The Principle of Cause and Effect

“Every cause has its effect; every effect has its cause.”

  • Nothing happens by chance; all events follow laws.
  • By becoming conscious of causes, we gain control over our outcomes.

7. The Principle of Gender

“Gender is in everything; everything has its Masculine and Feminine Principles.”

  • Gender exists in all planes—physical, mental, and spiritual.
  • Balance between active (masculine) and receptive (feminine) forces is necessary for creation and harmony.

🧘‍♂️ Applications & Purpose

  • Mental Mastery: Control thoughts and emotions through understanding these universal principles.
  • Spiritual Development: Align with higher laws to evolve consciousness.
  • Practical Wisdom: Use ancient knowledge to bring harmony in modern life.

📌 Conclusion

The Kybalion serves as a bridge between ancient metaphysical wisdom and personal self-mastery. It emphasizes that the universe operates by immutable laws, and by understanding them, we can live in greater alignment, awareness, and power.

“Mastery consists not in abnormal dreams, visions and fantastic imaginings or living, but in using the higher forces against the lower.”
 
Certainly. Here's a professional summary of The Secret by Rhonda Byrne:

Book Summary: The Secret by Rhonda Byrne

Core Concept:The Secret centers around the "Law of Attraction," which posits that thoughts are magnetic and have the power to shape reality. According to Byrne, positive or negative thoughts bring corresponding positive or negative experiences into a person’s life. The core idea is: “You become what you think about most.”

Key Principles:

  1. The Law of Attraction
    • Like attracts like. If you think positive thoughts, you'll attract positive outcomes. Conversely, negative thoughts will bring negative results.
    • The universe responds to your thoughts as if they were commands.
  2. Ask, Believe, Receive
    • Ask: Clearly define what you want.
    • Believe: Truly believe it's already yours; remove doubt.
    • Receive: Feel the joy and gratitude as if it's already happened, which sets the manifestation process in motion.
  3. Visualization
    • Regularly visualize your goals and desires as already achieved.
    • This strengthens belief and aligns your frequency with what you want.
  4. Gratitude
    • Being grateful attracts more to be grateful for.
    • Gratitude shifts your energy and raises your vibrational frequency.
  5. Positive Thinking and Affirmations
    • Focus only on what you want, not on what you don’t want.
    • Use affirmations to reinforce your desires and maintain a positive mental state.

Applications:

  • Health: Visualize perfect health and focus on wellness, not illness.
  • Wealth: Feel wealthy and act as if financial abundance is already yours.
  • Relationships: Love yourself and others, and you’ll attract loving relationships.
  • Career: Think about success, not stress or obstacles.

Criticism & Considerations:

  • The book has been criticized for oversimplifying complex life circumstances and for placing too much emphasis on personal thought as the sole driver of reality.
  • It lacks scientific backing, relying more on anecdotal and philosophical support.
  • Still, many find its ideas empowering and motivational for taking control of mindset and emotional state.

Conclusion:

The Secret is a motivational and self-help book that encourages individuals to harness the power of positive thinking and belief to manifest their desires. While controversial in its scientific rigor, its principles can be useful when combined with action, discipline, and realistic expectations.

Hakika. Hii ni muhtasari wa kitaalamu wa kitabu cha Siri kilichoandikwa na Rhonda Byrne kwa Kiswahili:
Muhtasari wa Kitabu: Siri cha Rhonda Byrne
Dhana Kuu: Siri kinazungumzia kwa kina "Sheria ya Uvutano," ambayo inasema kwamba fikra zina nguvu ya sumaku na zina uwezo wa kuunda uhalisia. Kulingana na Byrne, fikra chanya au hasi huleta matukio chanya au hasi yanayolingana katika maisha ya mtu. Wazo kuu ni: "Unakuwa kile unachokifikiria zaidi."
Kanuni Muhimu:
* Sheria ya Uvutano
* Kama huvuta kama. Ukiwa na fikra chanya, utavuta matokeo chanya. Kinyume chake, fikra hasi zitaleta matokeo hasi.
* Ulimwengu hujibu fikra zako kama vile zilikuwa amri.
* Uliza, Amini, Pokea
* Uliza: Eleza wazi kile unachokitaka.
* Amini: Amini kweli kwamba tayari ni chako; ondoa shaka.
* Pokea: Jisikie furaha na shukrani kana kwamba tayari umepokea, ambayo huweka mchakato wa kudhihirika katika mwendo.
* Taswira
* Tazama mara kwa mara malengo na matakwa yako kama tayari yamefikiwa.
* Hii huimarisha imani na kuoanisha mawimbi yako na kile unachokitaka.
* Shukrani
* Kuwa na shukrani huvuta zaidi ya kushukuru.
* Shukrani hubadilisha nguvu zako na huongeza mawimbi yako ya hisia.
* Fikra Chanya na Uthibitisho
* Zingatia tu kile unachokitaka, si kile usichokitaka.
* Tumia uthibitisho kuimarisha matakwa yako na kudumisha hali chanya ya akili.
Matumizi:
* Afya: Tazama afya kamilifu na uzingatie ustawi, si ugonjwa.
* Utajiri: Jisikie tajiri na uishi kana kwamba wingi wa kifedha tayari ni wako.
* Mahusiano: Jipende mwenyewe na wengine, na utavuta mahusiano yenye upendo.
* Kazi: Fikiria kuhusu mafanikio, si msongo wa mawazo au vikwazo.
Ukosoaji na Mambo ya Kuzingatia:
* Kitabu kimekosoolewa kwa kurahisisha sana hali ngumu za maisha na kwa kuweka msisitizo mwingi mno kwenye fikra binafsi kama chanzo pekee cha uhalisia.
* Kinakosa msingi wa kisayansi, kikiandikwa zaidi kwa ushuhuda na msaada wa kifalsafa.
* Hata hivyo, wengi wanaona mawazo yake yanatia nguvu na kuhamasisha kuchukua udhibiti wa akili na hali ya kihisia.
Hitimisho:
Siri ni kitabu cha motisha na kujisaidia ambacho kinawahimiza watu kutumia nguvu ya fikra chanya na imani ili kudhihirisha matakwa yao. Ingawa kina utata katika uhalali wake wa kisayansi, kanuni zake zinaweza kuwa muhimu zikichanganywa na hatua, nidhamu, na matarajio halisi.
 
Hivyo ni vitabu vya Kichawi, ukivisoma haraka haraka kama gazeti huambulii chochote:

Ila ukivisoma kwa kutahajudi vinakifundisha uchawi kamili kabisa na unakuwa mchawi wa dalaja la kuanzia, kama dalasa la kwanza:

Ni kama vike Biblia, ukiisoma kwa haraka haraka huwezi kupata nguvu zake.
Nawashauri acheni kuvisoma hivyo vitabu:
Vitawapa hasara na mateso makubwa na kuwaondoa katika mpango wa Mungu kwenu:
Asanten:
Uchawi ni tafsiri ya kitu chochote usichokielewa kinapewa sifa hio but hata kwenye elimu ya uchawi unaweza pata faida pia
 
Back
Top Bottom