vitabu vya ufugaji samaki

vitabu vya ufugaji samaki

Na wewe unafuga? Maana Tz mtunzi wa kitabu unakuta hata hiyo shughuli afanyi zaidi atakuwa Mwalimu/Mkufunzi/Mhaziri wa chuo/shule fulani
HII SI YAKUKOSA,JIPAPATIE KITABU CHA UFUGAJI SAMAKI KIBIASHARA.

NDANI YA KITABU HICHO KUNA YAFUATAYO
1)MCHANGANUO WA GHALAMA NA FAIDA ZA UFUGAJI SAMAKI.

2) NJIA BORA ZA KUTENGENEZA BWAWA LA SAMAKI

3)NAMNA YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI KINACHOELEA KWA GHALAMA NAFUU

4)JINSI YA KUFUGA SAMAKI WENGI BILA KUWALISHA NA WAKAWA NA UZITO MKUBWA.

5)JINSI YA KULINDA BWAWA BILA KUWA NA MLINZI

6)MAGONJWA YA SAMAKI NA TIBA

7)NJIA MBADALA ZA KUONGEZA HEWA KATIKA BWAWA LA SAMAKI.

8)MIEZI SAHIHI YA KUFUGA NA KUVUNA SAMAKI.

NA MENGINE MENGI YA MUHIMU

BEI YA KITABU NI SHILINGI ELF TANO 5000/= NA UTATUMIWA KITABU KWA WATSAP AU EMAIL.
0767694694
 
Unawezaje kufuga samaki bila kuwa na experience ? nikimaanisha unaweza ukasoma kitabu lakin kwenye practical ikawa viceversa pia katika ufugaji samaki inategemea na eneo husika je wewe unawezaje kuoanisha maeneo tofauti ? Pia kuna aina nyingi za samaki je wewe umezungumzia aina ngapi za samaki kwenye kitabu ulichoandika ?
Je kwenye kitabu chako umezungumzia challenges zinazowakumba wakulima kulingana na maeneo tofauti ?
Je umezungumzia intensive, semi intensive au extensive fish farming ?
Je umezungumzia polyculture au monoculture ?

Naomba maelezo ili niweze kuvutika na kitabu chako kulingana maswali hapo juu niliyouliza
 
tumezungumzia changamoto utatuzi wake.mifumo yote ya ufugaji samaki,kambale na sato.na mengine mengi.
 
Hakika inapendeza kwa mtu anayependa kujifunza mafunzo ya ufugaji samaki kupitia vitabu nadhani kupitia umo anaweza kupata knowledge kuhusu fish farming in general! Nakutakia kila la kheri mkuu katika uuzaji wako na usambazaji wako wa vitabu ili walengwa waweze kufikiwa kwa haraka
 
mkuu unalenga samaki aina gani? maana kunasamani wakula na wa urembo
 
Hiyo namba 4 duuu!

Hao samaki wanakuwa wanakunywa maji tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom