Majuto haya yatamrudia amini. Nguvu ya Mungu ni ya ajabu sana let's keep watching......Dikteta aliyekuja kwa jina la kutetea wanyonge, sasa hivi wanyonge wanajuta
Acha ushamba basi. Tatizo ni elimu yako, utoto au nini? Mchungaji hajaandika siasa bali ametoa mtazamo wake jinsi mambo yanavyoenda na ana haki kikatiba kusema au kutoa maoni yake. Hata ingekuwa siasa ana haki pia kwa sababu hakuna sehemu imeandikwa ukiwa mchungaji huruhusiwi kuwa mwanasiasa. Kila mtanzania hupo responsible kusimamia maslahi mapana ya taifa hiliMchungajI au mwanasiasa?badala kuandika mambo Ya ibada unagamia kwenye siasa hakuna namna Mkamateni Tu.
Naipenda sana hii verseHaki huinua Taifa bali dhambi ni aibu kwa watu wote.
Majibu ya Mungu huwa ni ya kuogofwa. Majibu yatakuja tu.
Angesimamia maslah mapana ya kanisa lake ambayo ndiyo anasimamia ningemuona ana maana hawa wachungaji njaa wanaacha wito wao wanafuata yasiyo wafaa akasome upya na ajihoji kama alitumwa Mungu kuhubir au alijituma mwenyewe uchungaji ni wito sio kuropAcha ushamba basi. Tatizo ni elimu yako, utoto au nini? Mchungaji hajaandika siasa bali ametoa mtazamo wake jinsi mambo yanavyoenda na ana haki kikatiba kusema au kutoa maoni yake. Hata ingekuwa siasa ana haki pia kwa sababu hakuna sehemu imeandikwa ukiwa mchungaji huruhusiwi kuwa mwanasiasa. Kila mtanzania hupo responsible kusimamia maslahi mapana ya taifa hili