KITABU CHA MASUALA YA GREENHOUSE SASA KINAPATIKANA
Habari wajasirimali wote na wanajihusiha na kilimo cha kisasa na wanaowiwa kujihusisha na kilimo cha kisasa hasa Greenhouse/Nethouse , sasa kitabu kinapatikana kikiwa kimesheheni mambo mbalimbali kama ;
- Maana ya Greenhouse
-Tofauti ya Greenhouse na Net house
-Vitu muhimu vya kuzingatia kabla ya kujenga greenhouse/net house
-Vitu muhimu vya kuzingatia wakati wa kusanifu jengo la greenhouse/net house
-umuhimu wa greenhouse/net house
-umwagiliaji wa matone
-faida za umwagiliaji wa matone
-Faida za kiuchumi /utajiri unaopatikana ndani ya greenhouse /net house
Na mambo mengine mbalimbali
Gharama ya kitabu ni Tsh 20,000/=
PIA KIPO KITABU CHA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI TSH.15,000/=.
KITABU CHA KILIMO CHA TIKITI MAJI.TSH.20,000/=.
KITABU CHA BUSTANI ZA MBOGA MBOGA NA MATUNDA.TSH.15,000/=.
TUWASILIANE ILI KUJIPATIA VITABU HIKI.
0784999995.
0654768400.
0763208043.
Sent using
Jamii Forums mobile app