Vitabu Jumla na Rejareja

Vitabu Jumla na Rejareja

Danny D

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
86
Reaction score
38
Kwa mahitaji ya vitabu vya jumla na rejareja

Contact:0715 977883
Or
0756 017036
20220128_125440.jpg
20220128_125505.jpg
20220127_110846.jpg
20220128_125428.jpg
 
Una hivi vitabu mkuu
1.John Bird - Electrical and Electronics principal
2.John Bird - Engineering Mathematics?
 
Naweza kitabu kinaitwa "Students Companion" by Wilfred d.Beest
 
nnahitaji kufanya hii biashara ila sina idea yoyote kuhusu hii biashara.
nipe abcd juu ya hili

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Cjajua unataka kuifanya kwa ukubwa gani(Jumla/Rejareja) but basically ni kawaida tu kama una msingi wako baada ya kumalizana na serikali unachukua mzigo wako kwenye maduka ya jumla/ publisher's kulingana na mahitaji ya wateja wako unaweka dukani maisha yanaendelea.

Faida ipo from 1k to 20k per piece kulingana na bei ya kitabu husika...coz kuna vitabu vinauzwa mpaka 100+k
 
Una kitabu cha A monk who sold his Ferrari,the leader who had no title na Rosa mistika?
 
Asalaam mkuu ninahitaji kitabu cha zamani kwa ajili ya maktaba yangu,90 min in Entebbe au Operation Thunderbolt pls
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom