Vita ya Vinywaji...

Nashangaa kwenye mchuano hakuna bato kati ya

Masafi vs uhai

Kwa dar naona masafi kashampiga chini uhai

Azam energy vs mo energy
kwa wanaume wa dar
 
Iko haja ya kuijaribu K Vant. Kwa sasa ni mfuasi mkubwa wa Faru John.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…