Bado Kidogo 2015
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 207
- 78
You are almost right!
nguvu ya mwisho itakayotumiwa ni kutangaza kura chache kuwa nyingi na nyinhi kuwa chacheNi kwel ccm sasa inajua kwamba kuna kila dalili ya kishidwa wanachokifanya sasa ni kuwahonga sana watu kutumia Mali/kodi za wananchi ilikujaribu kukinusuru ccm ikiwemo na umafia ndani yake!
Bravo mkuu. Nimekugongea like but naongeza kuwa umenena vyema.Mimi ni mwanaCCM lakini ningependa kutoa ufafanuzi ufuatayo(KEEP ON RECORD)
*Hichi kinachofanywa na baadhi ya viongozi wa CCM(eg Nape, Mwigulu, Wassira) hakina hata thamani ya kuita Propaganda bali ni siasa chafu.
Kwa ulimwengu wa leo wa kisiasa hakina madhara yoyote zaidi kina tabia ya kumrudia yule aliyekituma(Backfire)
*Kwa mimi niliyesomea mambo ya propaganda ninajua propaganda ni kitu gani hasa,
Sifa kuu tano za Propaganda ni: (Amplification+Proposing+Intelligent+Divertion+Repeatition)
1/Propaganda ni mchezo wa KUUKUZA ukweli na wala sio kuzusha uongo.(Amplify the Truth to overcome the Myth)
2/Propaganda ni HOJA zenye nguvu na wala sio uzushiuzushi.(Propose the Facts to oppose the Fact)
3/Propaganda ni UPEO mkubwa wa maarifa ya kufanya siasa na wala sio ujanja ujanja wa kuungaunga.(Political Intelligent skills)
4/Propaganda ni mchezo wa KUPUMBAZA akili za watu ili wasifikiri wanachokitaka na wala sio kuwafikirisha kitu unachokitaka wewe.(Divert the Mind to think unnecessary issues)
5/Propaganda ni mchezo wa KURUDIARUDIA kusema jambo lilelile ili lipate kukubalika na wala sio kuzusha kila siku jambo jipya(Repeat the issue until It sticks to the mind)
Bravo mkuu. Nimekugongea like but naongeza kuwa umenena vyema.
Nape Nnauye, chama, zomba, Rejao, Ritz, MAFILILI, pitieni busara za TanganyikaTANU
Mh mkuu, punguza jazba. Point yako itaeleweka hata ukitumia lugha ya kawaida.Tatizo lenu nyie mliolewa uCHADEMA. Ni kutokubaliana na ukweli hata mnapouona machoni.
Kuna kada mwenzenu alisema M4C ni njama tu za kuhujumu nchi isitawalike na kweli mmeshirikiana na polisi katika mauaji huko Morogoro na Iringa, licha ya kutokuwepo ulazima wa vurugu hizo.
Kama mikakati ya CDM ni kupambana na dola basi tuendelee kutegemea vurugu tu nchini ili CDM ichukue nchi kwa kumwaga damu za waTanzania wasio na hatia.
Na huo ndio naita "ukombozi" wa kijinga.
Sera zenu za kilimo ziko wapi
Sera zenu za biashara ziko wapi
Sera zenu za kuondoa uasikini ziko wapi
Sera zenu za kuboresha miundombinu ziko wapi
Sera za viwanda,uchumi, nishati, ardhi.......vyote vipo wapi?
Ati mnsubiri kumkomboa mtanzania?....... Au mna subiri kukomboa matumbo yenu?
Halafu mtu na "akili" kama hapo juu anafikiri mustakabali wa watanzania unaanza na kuishia na Polisi, TISS au TPDF ?
What shallow thinking!
Posti ya hapo juu na ni watu wajinga wajinga tu wataisapoti, wengi tuna jua kuwa CDM is hollow!