Vita ya Kiuchumi

AS LONG AS HAWAJAIBA, WANAFANYA KITU HALALI NA KINAINGIZA MAPATO KWA SERIKALI NA NZURI ZAIDI HAWAJALAZIMISHWA NA MTU WAACHANI WAFANYE KAZI
 
Duuuuuu....... Hili wimbi kweli hii ni shughuli endelevu ya kuingiza kipato?
 
Sasa hivi mapambio yameisha,ule wimbo wa viwanda hausikiki tena.
 
Viwanda 100 lila mkoa viko wapi?
Vijana wamekata taamaa wamebakia kubeti!
Hawaoni hata thamani ya elimu yao, mwishowe watakuwa matapeli kama wasomi wa Nigeria!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…